WALIOIBA DAWA ZA MILIONI 13.5 SONGWE KUCHUKULIWA HATUA

Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amewataka watumishi wa Afya wa Mkoa wa Songwe walioiba dawa za shilingi milioni 13.5 na kurudisha milioni 10.6 wafikishwe kwenye vyombo vyote vya Sheria ikiwemo Polisi, TAKUKURU na kisha Mahakamani kwa kadri ya makosa ya kila mmoja. Dkt.Gwajima ameyasema hayo leo mara baada ya kusomewa ripoti ya Mkoa na